Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.
Goal inakuletea baadhi ya wachezaji walio wahi cheza Simba na kuamua kujiunga Yanga na kwenda kupata mafanikio katika soka la Tanzania Ibrahim Ajibu ni miongoni mwa nyota wapya watakao jiunga na klabu ...
Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea, huku macho ya mashabiki wengi yakielekezwa kwa mabingwa watetezi Yanga ambao wanatarajiwa kushuka dimbani kwa mara ya kwanza msimu huu dhidi ya Pamba Jiji.
Mtaani raia husema, ‘ni noma sana’ , sasa ni hivi..! Pambano la watani wa jadi nchini Tanzania kati ya Simba na Yanga lazima lipate mshindi. Bila shaka huzuni na butwaa litawakumba mashabiki wa timu ...
Klabu ya Yanga ilitwaa taji lake la 30 la Ligi Kuu Tanzania Bara wakiandika historia ya aina yake, huku wakiwa wametwaa kombe hilo mara tatu mfululizo. Baada ya ubingwa unaoongeza historia ya klabu ...
SIMBA walihitimisha mechi yao ya mwisho ugenini Jumamosi usiku saa moja kwa saa za Tanzania. Walikuwa katika ardhi ya Jonas Savimbi na waliambulua sare ya ajabu ugenini. Shomari Kapombe alipewa kadi ...