Mechi ya tatu alicheza kwa dakika 67, Yanga ilipofungwa bao 1-0 ugenini dhidi ya AS FAR Rabat, kisha mechi ya nne akitumika kwa dakika 87 dhidi ya JS Kabylie, siku ambayo alifunga mabao mawili, la ...